
GIANA (My Choice) *SEHEMU YA KWANZA* "Sema we msichana uwaga unajizima sana data me nakuambia kweli, yaani maelezo yote yale niliyokupatia asubuhi saa hizi nakuja ujafanya kazi yangu si ndio ? Yaani unaachaje nguo zangu zikiwa chafu namna Ile ? " Nilimfokea Giana ambaye ni dada wetu wa kazi ambaye hatujawai kuelewana tangu siku anaingia nyumbani. "Chris ukirudigi kwenye kazi zako unachokiwazaga ni kuwai tu kurudi nyumbani ili uweze kugombana na Giana si ndio ? "Giana alinijibu kama kawaida yake, yaani uwaga aniogopi ata kidogo. Giana ni kama msichana mwenyeshida sana, sio mimi tu ambaye atuelewani adi mdogo wangu wa
0 Comments