
NILIVYOBEBA MIMBA YA KAKA YANGU WA DAMU... RIWAYA YA MAISHA (CHOMBEZO ELIMU) UMRI................. 18 MTUNZI .... LAYMAN DONSUE WHATSAPP 0780464168 SEHEMU YA KWANZA Kila lililotokea kwenye maisha yangu limebaki kama historia ya maumivu sana ndani ya moyo wangu, kila nikumbukapo miaka kadhaa nyuma najiuliza kama ni kweli mimi ndie nilifanya yale ila sipati majibu. Nahisi laana ile bado inaniandama kama ilivyowaandama Tamati na Amnoni wana wa mfalme Daudi. Tazama walikuwa ndugu damu moja ila walifanya mapenzi na kuridhishana wao kwa wao, ingawaje dada hakutaka ila bado goma lilikuwa kwa wote.. Story hii itafute kwenye kitabu kimoja wapo katika biblia kitabu
0 Comments