
Pamoja na kwamba mwamba kamuua Zuri na kumpa linda ujauzito feki pia kuchepukana kina bertha hivi kuna mtu anamchukia DR MMBANDO???
Tuseme tu ukweli huyu mwamba kaitendea haki character yake.. amecheza uhusika mzuri kama baba kwa wanae, amekua kiongozi bora kazini bado anamisimamo na maamuzi sahihi ya maisha
Mmbado hakurupuki kufanya maamuzi hapelekwi na hisia kama wanaume wengine hata siku moja aiseee nampa heshima amefanya niione TUFANI ndo tamthilia nzuri sinema zetu ukiitoa KOMBOLELA❤????????
Soma zaidi
0 Comments