
PENZI LA SINGLE MAMA SEHEMU YA NNE Turaendelea palepale amapo maria alikuwa amesema " ananishikaje kiuno kama sio ukorofi" Alisem hivo kisha akaamka na kwenda kumfunia mtoto wake si unajua mbu.Asije akaumwa halafu hela zenyewe ni ngumu ....biashara haziendi sana Lakini alipokuwa anaondoka baada ya kumfunika mwanae machozi yalikuwa yanamtoka . Unajua mpaka sasa hatujuwi baba wa mtoto yuko wapi lakini inaonyesha kuna jambo zito . Chozi la mtu mzima liheshimiwe. Akawa anaondoka akasikia sauti kutoka kwa mwanaye " Mama Nakupenda sana kuliko kitu chochote dunia" "Nakupenda pia mwanangu" " usinilie utanifanya na mimi nilie" "sawa mwanangu ngoja
0 Comments