
RIWAYA; I AM A KILLER. (Mimi ni muuaji) MTUNZI; LAYMAN DONSUE Dunia nina mengi vioja, Dunia ina mambo, tena mambo mengi sana ya kuumiza na mengine ya kufurahisha sana, yale ya kufurahisha huja kwa muda mfupi na hata yale ya kuumiza huja kwa mda mrefu sana. JIJINI DAR ES SALAAMU Jua linazama juu ya anga la Dar es Salaam magharibi katika mikoa ya Kagera ndani ya Tanzania, likitawanya mwangaza hafifu wa machweo juu ya mitaa yenye shamrashamra za usiku. Pembezoni mwa barabara ya Ohio, karibu na eneo linalofahamika kwa wenyeji kama ‘Kona ya Mataa’, maisha yanaendelea kwa kasi yake ya
0 Comments