SHANGAZI KIDOGO TU EPISODE 5 season 2

SHANGAZI KIDOGO TU EPISODE 5 season 2

SHANGAZI KIDOGO TU EPISODE 5 Baada ya mjomba kukohoa nikajua tayari nmeyakanyaga rasmi. Nilianza kutetemeka nikijuwa hapa sina jipya sasa.. Nilikuwa mara nijifiche chini ya uvungu . " Tunafanyaje shangazi " " Bhana mi mwenyewe sijuwi" " Naona tu mambo yashaisha' " Ni kweli uncle wako anaweza akakuua" " Mmmh ! Mpaka nawaza. Leo" Mjomba alianza kuongea toka yupo huko" nilikuwa najuwa toka muda kuwa wewe unakula kitimbua cha shangazi yako" Nilishtuka nakuanza kutetemeka zaidi huku mapigo ya moyo kama yanakimbia kama hussen bolt .... Nilisikia mlango wa stoo unafungiiliwa na panga linavutwa . Nikajua leo ndo leo mwisho wa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments