
???? SIDE CHICK❤️???? ???? Episode 5 ???? Nilireceive call nikiwa nimetenx sana ????sijuwi adi mbona nilikuwa nimeogopa.. Me????????: Hello.. ???? Voice: Hello it's Tina.. Me????????: mmmh ooh just a minute I will call you ????.. Tina????????????: Ok please make sure you call back.. Me????????: Ok.. Jamaa niliskia ni Tina nikashtuka????..nikakumbuka Tina alikuwa sidechick wangu back in the days but tunakosana...bydha haikuwa kupenda kwangu kukuwa na sidechick ????mnaelewa Tu life ya kuishi mbali na wife Bana.. So ilibidi nitafute sidechick but Sasa naona kimeanza kuniramba????... Hata hivo niliamua kutoka pale Kwa joy coz tulikuwa tumeshindana ... Niliondoka nikaanza kuelekea nyumbani ????..nikiwa
0 Comments