TAMU YA HOUSEGIRL SEHEMU YA 02

TAMU YA HOUSEGIRL  SEHEMU YA 02

TAMU YA HOUSEGIRL SEHEMU YA 02 "Dada shikamoo" Mwaneke alimsalimia bosi wake huyo badala ya kujibu swali aliloulizwa "Shikamoo inaniongezea nini mimi Mwane, nataka jibu la swali langu na siyo unanitazama kama ndumi la kuwili hapa?" "Mimi kaka aliniita tu kunipa maagizo wala sikumwambia kitu chochote, mbona hakuna tulichoongea mimi na yeye dada?" "Una uhakika?" "Ndiyo dada" "Mwane, ujitazame, humu ndani umeingia kwa huruma tu, wadada wenzio hawakaagi humu siku mbili tu wanaondoka kwa sababu huwa sipendagi ujinga na sijuagi kucheka cheka na mjinga hata siku moja" "Nakuelewa dada" "Potea, kuna nguo zinakusubiri na kazi zote humu ndani zifanyike sasa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments