
UTAM? WA MABOSS??? SEHEMU YA 02 Alex alimkazia Linda macho??alisimama akamsogelea ili amuone vizuri alihisi huenda hakuiona sura yake?? Linda bado alimsukuma na kumwambia awe na adabu siku nyingine laa sivyo atamtwisha chupa ya pombe kichwani abomoe ubongo wake ulio lala Alex baada ya kuona vile alipiga hatua na kuanza kutoka nje , Alex alitoka kwa hasira na kumpu uza kila aliekuwa anamuomba abaki pale baa na akaingia kwenye gari lake na Michael akiwa amekaa kando yake na gari likaanza kuondoka. "Msichana huyo ni jasiri sana lakini nikimuona tena, sitamuacha,akasema Alex ? Walifika kwenye jumba la Alex la kifahari na
0 Comments