UTAMUU WA MABOSS?????? SEHEMU YA 01

UTAMUU WA MABOSS??????  SEHEMU YA 01

UTRAMUU WA MABOSS?????? SEHEMU YA 01 Linda ni bint mwenye miaka 22 alilelewa na mjomba wake baada ya wazazi wake wawili kufariki... Maisha katika familia ya mjomba yalikuwa ya manyanyaso sana????????hata hivo baada ya Linda kukua na kujitambua alitoroka huko ujmbani akaenda kujitegemea mwenyewe???????? Siku moja aliamka asubuhi akaoga na kujiremba kisha vizuri kisha alijiambia "Nina enda kutafuta kazi leo na naomba nipate kazi bora zaidi, Alichukua vitu muhimu vilivyohitajika na kwenda kutafuta kazi. Upande wa pili kuna kijana mmoja jina lake ni Alex asubuhi hiyo nayy alienda kwenye kampuni yake mapema kwa sababu alikuwa na marundo mengi sana ya

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments