
UTAMU WA MABOSS??????3 Linda aliingia ofisini kwa Alex bila kujua????????alimkuta mwenye ofisi yuko bize anachezea simu yake alimsalimia habari yako mkuu???????? Alex aliitikia kwa kutikisa kichwa huku akiendelea kuchezea simu????????Linda alisimama akawa anaendelea kusubiri Boss amalize mambo yake waendelee na interview.. Alex alimalizana na simu akaiweka pembeni????????taja jina lako alimwambia huku akigeuza kiti chake chake cha kuzunguka ili aweze kumuona huyo anayefuatia ni nani.. Alex alishtuka baada ya kumuona Linda ofisini kwake????????????youu???Linda akashangaa huyu jamaa vipi kwani tunafahamiana?? Hata hivo inaonekana Linda hakumkariri Alex wakati anampig kule baani toba????????????Alex alimwangalia ???? badae akamwambia anza kazi niletee kahawa yangu haraka changamka????
0 Comments