
UTAMU WA MABOSS??? 4 Katika upande wa Alex siku hiyo Aliamka mapema sana kuliko kawaida yake, na hakujua ni kwanini. Alioga na kufanya mambo muhimu. Akaingia kwenye gari na Sam ambae ni dereva wake na wakaondoka. Wakati wako njiani kuelekea kazini gari lao lilipata ajali waligongana na gari la mtu mwingine Alex na sam walishuka haraka kuangalia kilichotokea.. Sasa katika mitaa hiyo kulikuwa na jam sana siku hiyo Linda mwenyewe alikuwa hapo hapo akisubilia jam ipungue arudi kwenye daladala aendelee na safari ya kuelekea kazini.. Linda alishuka kwenye gari kutokana na joto kali ikabidi asimame nje apunge upepo..sasa Alex aliposhuka
0 Comments