𝐋𝐎𝐌𝐋 (𝑳𝒐𝒗𝒆 𝒐𝒇 𝒎𝒚 𝒍𝒊𝒇𝒆) ❣️:02

𝐋𝐎𝐌𝐋 (𝑳𝒐𝒗𝒆 𝒐𝒇 𝒎𝒚 𝒍𝒊𝒇𝒆) ❣️:02

Nilimtazama tu, sasa huyu ndiyo mpenzi wangu G. Ni mwanamke ambaye sio mvumilivu, ana pesa mbele sio mambo mengine, anapenda anachotaka muda na wakati huohuo kifanyike na kiwe. Ni binti mzuri sana ila ana mambo mengi ambayo mimi kama mwanaume naona kabisa kwa ndoa inakuwa ni ngumu sana hivyo nilihitaji muda zaidi. Nilimshika mkono, na kusema “baby wangu G, wala hata sio hivyo. Nina hofu tu, nina ogopa sana sijui hata itakuaje. Lakini ukweli ni kwamba natamani kukuoa hata sasa hivi, hofu tu.” Gabriella alinitazama na kutabasamu akisema “mpenzi unaenda kuwa baba, hili ni jambo zuri sana kwetu, unaenda kuwa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments