𝐋𝐎𝐌𝐋 (𝑳𝒐𝒗𝒆 𝒐𝒇 𝒎𝒚 𝒍𝒊𝒇𝒆) ❣️:03

𝐋𝐎𝐌𝐋 (𝑳𝒐𝒗𝒆 𝒐𝒇 𝒎𝒚 𝒍𝒊𝒇𝒆) ❣️:03

Alicheka akisema “si unaniona na shemeji yako?, sisi tupo tutumieni ili kuweka mambo sawa ndiyo maana ni walezi wenu. Hatupo hapa kusimama tu ina maana sana.” Tukacheka na kukumbatiana. Baada ya hapa, watu walianza ingia kwa magari, na G sasa ananifuata na maringo yake ya kudeka “Ooh baby lets go, twende Mine Man.” Hapo tayari yupo mwilini, hata msimamizi ananitazama anacheka akisema “unaona mambo hayo, haya tangulieni kwa gari na mimi nimfuate babygirl wangu.” Tulicheka tu. Sasa nikiwa ndani ya gari, hapo mpenzi G na simu kila muda picha mpaka natamani kumwambia pumzika kidogo nipate hata kupumua nakasirika na la

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments