𝐋𝐎𝐌𝐋 (𝑳𝒐𝒗𝒆 𝒐𝒇 𝒎𝒚 𝒍𝒊𝒇𝒆) ❣️:06

𝐋𝐎𝐌𝐋 (𝑳𝒐𝒗𝒆 𝒐𝒇 𝒎𝒚 𝒍𝒊𝒇𝒆) ❣️:06

Nakumbuka sana, nakumbuka usiku huu sasa tulienda fungate hotel kubwa sana hapo ni tunalala usiku huo na kesho ni safari kuelekea Zanzibar sehemu pekee ambayo mimi nilipendekeza badala ya Dubai, sikuona haja ya kwenda kote huko kutumia pesa wakati ninayo mambo mengi ingawa pia kwa Gabriella haikuwa rahisi kumshawishi. Tulifika mpaka hotel, tulipofika sasa mke wangu, alinikumbatia na kusema “sasa ni mke halali wa Ricky, mpenzi wangu nakupenda sana, Wewe ni kila kitu nataka kukamilisha ulimwengu wangu. Wewe ukianguka tunaanguka wote, na ukiinuka tupo pamoja mpenzi wangu. Ricky mimi hapa mwenzako nakupenda si unajua babaaa eenh, na mtoto wetu akija

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments