𝐋𝐎𝐌𝐋 (𝑳𝒐𝒗𝒆 𝒐𝒇 𝒎𝒚 𝒍𝒊𝒇𝒆) ❣️:07

𝐋𝐎𝐌𝐋 (𝑳𝒐𝒗𝒆 𝒐𝒇 𝒎𝒚 𝒍𝒊𝒇𝒆) ❣️:07

Nikiwa nimekaa namuwaza mpaka natabasamu, Gabriella aliniita “Baby, Husbae, njoo please!!” Nikaitika nikisema “Am coming wifey!!” Nasema hivyo mdomoni moyo hautaki, sijui hata unanielewa. Simuoni mke wangu tena kama ndiyo ninayepempenda, hayupo moyoni mwangu kabisa naona kero tu. Sihisi kumpenda, nimegundua sasa kuwa mwanamke ambaye anaenda kuwa mke wangu wa maisha yangu yote mpaka kifo kitutenganishe sio mwanamke ambaye mimi ninampenda. Roho yangu imeumia sana, simpendi mke wangu, kuna mwanamke ambaye nimemuona ndiyo naona yeye ndiyo mapenzi yangu yote. Nitafanya nini sasa mimi. Basi niliingia bafuni, mke wangu ni mrembo sana. Anavutia kila mwanaume ambaye ni rijali na atapita mbele

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments