
Nilitabasamu, sasa sikuwa hata na hamu na yeye nimechoka na kusema siwezi kabisa. Lakini kabla sijafanya kitu chochote kile mwanamke wangu alinivuta kitandani na akaniweka chini yeye akawa juu yangu. Nikawa namtazama yeye anatabasamu na taratibu midomo yake ikawa kwenye midomo yangu. Alianza kunibusu vile anavyotaka, kiukweli alijitahidi kufanya kila alichoweza kunifanya nifurahie. Mwanamke wangu huyu anapenda sana mapenzi, kiukweli sina hakika sana kama nimewahi kumridhisha. Nina uthubutu wa kusema hivi kwasababu kwanza hajawahi kuchoka, hajawahi kutosheka unaweza wewe ukachoka hoi ukamuacha hapo na yeye bado anataka, kuna muda mpaka namuuliza “baby umetosheka?” Anatabasamu na kusema “Yes babe, thanks so
0 Comments