
Sijui maongezi yao mengine yalikuwa ya aina gani ila baada ya muda mama alikuja chumbani kwangu akaniomba nimpe album ya picha zangu.. Nilimpatia akaondoka nayo baada ya muda aliirudisha ila picha mbili hazikuwemo.. Mimi sikujua kilichofuata zaidi ila usiku ulipofika mama aliniletea simu niongee na mama mchungaji.. Nahisi mama alishamuelezea hali halisi na akamuomba amsaidie kunibembeleza😓😓 Mama mchungaji aliniambia Maya mimi ni mtumishi wa Mungu je una wasiwasi wowote juu yangu?.. Nikamwambia hapana mama sina wasiwasi wowote juu yako... Unahisi naweza kukuletea mtu asiye sahihi kwenye maisha yako??? Nikakaa kimya😓😓😓.. Mama mchungaji aliniambia hii familia mimi naijua vizuri mnoooo ni
0 Comments