
EP 11. Nilikumbuka kile kipigo cha yule toyo, hofu ikaanza kuingia, ila nikakumbuka tumeshaachana, baby akamuuliza, kulikoni chumba hiki ama umekosea? Akajibu sijakosea wala hamjakosea,alinisogelea akanikata jicho, akamshika na baby, akamlima mtama mmoja hatali, nikamfata kumkingia kifua, wee nilipewa hilo kofi, mpaka nikatoa damu,shavu likavimba,alituzimisha tumekuja kushtuka mimi siko kwenye sofa, baby wangu yuko kwenye kiti kafungwa mikamba... Niliinuka nikaanza kulia, D alikuwa pembeni tu ananoa visu, niliogopa nikaanza kuomba msaamaaa, D jamani lakini si tumeachanaa baba, hee naulikubali kabisa... Darian ; tena manka, ungekuwa naa akili ungefunga huo mdomo ikaaakusaidia kutokukuongeza kipigo, sikutegeme kama wewe ni mjinga kiasi hiki,
0 Comments