SIMULIZI: YA QALBI ❤💙 (MOYO WANGU) SEHEMU YA: 01

SIMULIZI: YA QALBI ❤💙 (MOYO WANGU)  SEHEMU YA: 01

Sidrath, au Sidy kwa kifupi, aliishi na dada yake wa kambo na mama yao wa kambo. Mama yake mzazi alikuwa hospitalini, hali yake ikiwa hoi taabani, akiwa mgonjwa asiyeweza kutumia fahamu zake. Sidrath alitamani sana mama yake apone kwani alikuwa ndiye furaha yake kamili, pepo yake. Sidrath alizaliwa kama mtoto wa pekee kwa wazazi wake wawili, marehemu baba yake pamoja na mama yake mzazi. Walakini, alipotimiza miaka 16, mama na baba yake walitengana. Sababu ya kutengana kwao haikujulikana sana kwake, lakini walitengana, na Sidrath akaanza kuishi nao zamu kwa zamu. Hali ilibadilika kabisa pale baba yake alipoamua kuoa mwanamke mwingine,

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments