
Zakia alikuwa mbele yangu anaomba et msamaha , khaa sasa Samahani mie itanisaidia niniii?? Ni kama alikuwa amekuja kunisanifu tu alikuwa amekuja kunidhahakiii Namuuliza we bint umetumwa tenaaaa?? Sauti yangu haitoki naskia hasira zilizo na huzuni Alex alinibembeleza mnooo yaan alinambia salma utapata presha mke wangu tulia Inno akamwambia Zakia hakuna maana ya Samahani yako mana hata kuongea Salma hawezi kwahiyo sioni sababu ya wewe kuendelea kuwa hapa Zakia akasema siwezi kuishi kwa amani kama salma atakuwa hivyo na mimi.ndio sababu naombeni mnipe nafasi nijaribu kumsaidia Mama alishtuka akamfata akamshika mabega akawa anamwambia unaweza kumsaidia kweli bint yangu zakia akasema
0 Comments