
"Lakini Naomi, nimechukua chumba kimoja tu, hapa jilani vyumba vimejaa unaweza kuniamini tukashea? Duh chumba kimoja tena🤔, usijali mimi nitaenda kulala jilani apo wewe kalale gest, " Naomi usinikasilishe tafadhali, mimi sitokufanya chochote, najua unapitia nini, naomba uniamini kuna vitu pia nshitaji nikushilikushe, niliamua tu kukubali make mtu adi kakunja uso mmh.. Nilikuta kaninunulia adi nguo za ndani,nioge tuje tuongee, make nguo sikuja nazo nyingi, nilizokuja nazo sijafua, naingia kuoga najikuta nina nguo ya ndani tofauti, mmh nilishtuka, nilitoka kuoga nina waza, akasema, "najua unachowaza ni mimi ndio nilikubadilishia, nikaenda kufua imeshakauka ibo kwenye begi langu umo, nyie ivi uyu
0 Comments