
Jeon alikuwa hajawai kula chakula changu kabisa, alianza kukila uku mwanza, alijua kwa nini mama ake ananiganda ilihali nina miezi 6 tu kwake,wakati tunatoka alinikabidhi funguo, nikamuuliza tena funguo za nyumba yake kwa nini ananipa mimi🙄, " kaa nazo ikitokea unahitaji kutuliza akili njoo hapa, na kama nitahitaji kuja nitakuomba usinipinge kwa hili nakujua huchelewi kutoa sababu lukuki ama kutaka kujua zaidi, sitamani kuongea ongea nachoka, napenda unielewe tu kwa kifupi ivo ivo Naomi... Nilikuna kichwa kuonyesha kabisa natii tu lakini sijaelewa, na hakujali, alibeba tu begi langu huku anaongoza njia, nilikuja nakimkona, ila naludi na lundo la nguo tena
0 Comments