BAMTU MR SASAMPA UTAM WANGU MWENYEWEEEE AAAASSSSHH🥵💘 SEHEMU YA (16)

BAMTU MR SASAMPA UTAM WANGU MWENYEWEEEE AAAASSSSHH🥵💘  SEHEMU YA (16)

Kadri siku zilivyozidi kwenda ndio penzi la Bryan na Maria lilizidi kushamiri. Walikuwa wanapendana mnohaikupita siku bila wawili hao kuonana . Siku moja Bryan alimwambia Maria " Mpenzi Kuna Jambo nimefikiria Sana ,Naina haifai Tena wewe kukaa mbali na Mimi tunatakiwa kuja kuishi pamoja. " Mpenzi Mimi naona hivyo itakuwa mapema Sana naomba tuvute muda kidogo. Bryan hakuridhishwa na jibu la Maria. " Unaweza kunipa sababu za kukataa ombi langu? " Sijakataa Ila tusubiri kwanza. " Sioni haja ya kusubiri ikiwa tunapendana tunatakiwa kuishi pamoja nikiamka asubuhi nataka nikuone ukiwa pembeni yangu. Kwanza Yale mazingira unayokaa sio kabisa , unafikiri

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments