
My wenu mimi hivo vitu sijawahi kabisa🙈🙈yani hayo mambo ya chumbani cjy romance kiss kwich kwich mie bado😴 Rouhy alivoanza kunipapasa mama weee mie nikasimama nikasogea pembeni mbali kule kwenye kona😂😂😂🙈 Akanifuata akaniambia naomba uniruhusu nikuvue hii gauni malkia wangu lol nyieee the way he talk😴unaeza jikuta utelezi umekudondoka bila habari... Nilimuomba aniache nivue peke yangu😂😂😂yani ana mpango gani huyu jamaa anivue gauni anione uchi thubutu🙈😂.. Nilimuomba anipishe nivue akaniambia it's okay nitafumba macho sitakuangalia mke wangu.. Sema kuitwa mke wangu kwa sauti fulani hivi ya chini alafu nzito kuna namna fulani hivi mtu unajisikia utamu🙈 Rouhy aligeukia upande mwingine
0 Comments