BAMTU MR SASAMPA UTAM WANGU MWENYEWEEEE AAAASSSSHH🥵💘08

BAMTU MR SASAMPA UTAM WANGU MWENYEWEEEE AAAASSSSHH🥵💘08

Kesho kulipokucha mapema Sana Maria alijiandaa na kuelekea hotel alipofika alipokekewa na Freya. " Maria siamini kana umekuja ulikuwa wapi siku zote hizo? " Nipo ahangaika na maisha. Freya aliangaza macho kuangalia Kama Kuna mtu karibu Kisha akamvuta Maria karibu yake " Umeona na boss? " Hapana ndio nimekuja kuonana nae. " Mmmh Yani Bora uondoke maana nasikia ana hasira na wewe sijui hata umemfanya Nini? " Najua ananitafutia Sana ndio maana nipo hapa nijue hizo hasira zake ili tunapizane kwa wema nahitaji kuishi kwa amani sitaki kuwindwa Kama swala bugani. " Mmh unajiamini Nini.... " Najiamini Sana kwanza Sina

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments