
Norah naumia sana,nimeharibu maisha yangu kwa ujinga wangu mwenyewe , nimeharibu mahusiano yangu na familia yote. Baba hataki hata kuongea na mimi hadi ameamua kuniondoa kwenye kampuni , kinachoniumiza zaidi mpaka mama nae hataki kuniangalia mwanaume nilie zaa nae yeye pia hataki hata kutoa huduma za mtoto. Yani kila kitu kimekuwa kibaya kwangu hapa nilipo sina hela kodi imeisha ,mtoto nae natakiwa kulipiwa ada shuleni . " aliongea kwa uchungu sana nikiwa kama ndugu yake nilijisikia vibaya na kumkumbatia huku nikimpa moyo. Tuliongea kwa mda mrefu kisha nikarudi nyumbani na kukaa kuongea na Selim ili tuone ni namna gani tunaweza
0 Comments