
Haikupita hata mwezi juddy alifariki na taarifa tulipewa na Zakia mwenyew, nilimuombea apumzike kwa amani tu , sijui ndio mambo ya mganga au ni mungu tu ameamua sijui yeye Hakuna hata aliewaza kwenda msibani Nilishukuru sana mungu mambo yote kuisha na nina amani tena , Alex aliipangisha ile nyumba , tukatafuta nyumba ingine kwa ajili ya kuishi Baada ya miezi minne ya ndoa ndio ,nilijikuta nina ujauzito afu nilikuwa nishaweka kijiti daah Ilibidi tu nikatoe zangu kile kijiti nilee mimba yangu huku nasimamia biashara zangu mwenyewe Mtoto wa juddy alikuwa yupo kwao na Felix na kilikuwa kimekuwa kikubwa tu ,
0 Comments