
Maria alichanganyikiwa aliingia ndani na kutoka " Huyu baba anatamani kuf ia kwenye mikono yangu Yani anauza nyumba nikiwa humu humu ndani . Maria alienda kumgongea baba yake lakini hakujibiwa ikabidi asukume mlango kitandani hakukuwa na mtu , Maria alitoka bila kuvaa viatu na kuelekea kwa mzee Tesha rafiki wa baba yake alijua kwa ule muda lazima atakuwa huko. " Wewe binti mbona upo mbio mbio hivyo hata viatu hujavaa? " Nina Raha gani ya kuvaa viatu wakati baba kashafanya madudu yake. Hivi unajua baba yangu kauza nyumba? Maria alimuuliza Mzee Tesha alitulia kidogo Kisha akesema " Hakuwahi kuniambia Hilo
0 Comments