‎NILIKUWA NAJIUZA BILA MUME WANGU KUJUA BASED ON TRUE STORY:

‎NILIKUWA NAJIUZA  BILA MUME WANGU KUJUA  BASED ON TRUE STORY:

‎ ‎ ‎(Maudhui ya watu wazima. Imeandikwa kwa tahadhari ya uelewa na kutoa funzo.) ‎ ‎ ‎Sehemu ya 1 ‎Naitwa Rebeka, nina miaka 28. Nimeolewa, na nina watoto wawili. Kwa nje watu waliniona kama mwanamke mwenye maisha mazuri: mume mcha Mungu, familia yenye mshikamano, na tabasamu lisiloisha kwenye sura yangu. ‎Lakini nyuma ya pazia hilo, kuna siri nzito niliyobeba kwa miaka mitatu. Siri ya aibu, ya hatia, lakini pia ya maisha yaliyolazimisha maamuzi ambayo kamwe sikuwahi kufikiria kuwa ningeweza kuyafanya. ‎ ‎Nilikuwa nalala na wanaume wa lika zote si watoto wadogo ilimradi tu awe na pesa lazima apate huduma yangu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments