
"MMtuaaliyemfanyiauupasuajini bbingwawwammifupa eendaponningemfanyiaMimi uupasuajiwwakwanza sina uuhakikakama aangewezakkutembeatena...." DDaktariaanayeaminikakkatikahhospitaliya AAghakanaaliongea BBaadaya kama ddakika20 hhivikkupitaJamila aalirejeshaffahamu HHakuwana nnamnazzaidiya kkumtajiahhospitaliaaliyofanyiwauupasuaji HHoteliaaliyokuwaaanafanyannayokkaziiiliingiajjukumula kkumsafirishammpakaJJijiniMMbeya Moja kwa moja aalipokelewakkatikahhospitaliya St. Peter aakiwana bbaruamaalumu. Chris alishangaa baada ya kumuona Jamila akiwa katika maumivu makali ya mguu. "Hapana kwa wakati huu sitamfanyia operation, endapo nitafanya hivyo hatatembea kabisa. Daktari aliyemuandikia hii barua nina uhakika anajua ni kitu kitatokea endapo mifupa yake itaguswa tena" Dorin aliongea "Kwahiyo ni kitu gani una shauri katika hili!" Chris aliuliza akiwa katika hali ya kupanic "Ni lazima akatwe mguu, tofauti na hapo utaoza...." Dorin aliongea "Hapana, lazima kuna njia nyingine. Daktari aliye muandikia
0 Comments