🎙️ WALIMWOZESHA NA CHIZI KUMBE NI TAJIRI! (Part1)

🎙️ WALIMWOZESHA NA CHIZI KUMBE NI TAJIRI! (Part1)

Binti mmoja aitwaye Turi, ambaye ni yatima mwenye umri wa miaka 25, anayeishi na mama Yake wakufikia ambaye anaitwa Mama Vero, katika Kijiji cha Ndarimo. Lakini, mama Vero upendo wote ameuelekeza kwa mwanaye Vero na kumuona Turi kama takataka, licha ya kuwa Turi ni msichana mwenye adabu na upendo kwa mama na mdogo wake wa kufikia, ila, juhudi zake zote zinachukuliwa kama mtu anayejipendekeza na kuitwa mnafiki na mama Yake wa kufikia!. Maana ingawa Vero, alitambua wema wa dada Yake wa kufikia ambaye ni Turi, Lakini, Mama huyo, kila alipomuona Vero akiwa karibu na Turi aliweka vipingamizi visivyo na sababu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments