BILIONEA NDANI YA HOTEL SEHEM YA 08

BILIONEA NDANI YA HOTEL  SEHEM YA 08

SEHEM YA 08 MWANDISHI ::HURU MEDIA Baada ya vipimo kuisha Rahul akamuomba Vicky wakapate chakula pamoja , Vicky hakuwa na shida na hilo lakini swala la Rahul amtegemee kwenye matatizo yake hata halikumuingia akilini Hakutaka kubishana na Rahul akamkubalia tu Walitoka mpaka kwenye hotel moja Rahul ndio alimuaguzia chakula "Vicky naomba muda kidogo nahitaji kuongea na wewe!!" "Sawa nakusikiliza " Rahul alikaa kimya kama anafikieria aanzie wapi , Vicky nae akamkazia macho hapo alishamwandalia majibu ya kumpa kama yote mana alijua wazi anataka kuizungumzia mimba yake "Vicky, naomba tuongee kuhusu masha kuna vitu nataka kukuomba msaada" Vicky akashusha pumzi akamuuliza

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments