BILIONEA NDANI YA HOTELI 49/50 ( SEASON THREE)

BILIONEA NDANI YA HOTELI 49/50     (  SEASON THREE)

“kwan si umesema alikuwa anatoa mimba unakuja kuniuliza nini tena hapa” recho alimjibu huku anainuka kuhama hilo eneo ,, Rahul akamvuta mkono “okay Samahan kwa yale niliyoyasema mwanzo sikujua kama ni Vicky ,,Vicky ni mwanamke wa thamani sana kuliko hataa pumzi zanguu,,tafadhal nijuze alikunywa nini na ilikuwaje akanywa” Recho alimtazama chinii akampandish juu ‘juice mfyuu” recho akamsonya huku anageuka pembeni akamtupia na jibu lake “juice?? Hakuna kingine maana doctor wanasema ametumia dawa za kuharibu mimba” Recho ndo akashtuka hakuwa anaelewa nini kinaendele tangu mwanzo unasema ninii wewee??” “juice ndio ilikuwa kitu cha mwisho au kuna kingine alitumia “ “noo ,ni

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments