I LOVE YOU DADY 💘❤️💘20 "By Babie Love 0742133100"

I LOVE YOU DADY 💘❤️💘20 "By Babie Love 0742133100"

First time in America🥰🥰🥰🥰tulipokelewa na familia ya aunt..yeye mme wake na watoto wao watatu wazuri hatari🤗.. Tulikaribishwa America kwa furaha🤗🤗🤗auntie alitupeleka nyumbani kwake tukakuta bufeee za kutosha pale tukajiseviaaaaaa🥰🥰.. Story za hapa na pale then tukaenda kupumzika siku iliyofuatia auntie na mme wake walitupeleka kutembea sehemu mbalimbali🤗🤗 Pazuri sana America jamani hahahaaa kila siku ilikuwa kuzurura mtaa kwa mtaaa..baada ya mwezi mmoja Rouhy aliondoka akarudi Tanzania kuendelea na kazi nikabaki America pake yangu🤗 Shangazi alinilea vizuri sanaaaa kunidekeza kama yai vile hahaaaa mimba ilipofika miezi tisa mama na bibi nao walikuja... Tarehe yangu ya makadilio ilipowadia nilipelekwa hospital nikafanyiwa vipimo

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments