BILIONEA NDANI YA HOTELI 55__56 ( SEASON THREE)

BILIONEA NDANI YA HOTELI  55__56      (  SEASON THREE)

“ni jana tu ndio kila kitu kimeunguka “ “huyu ni mwanangu Rahul,,,,nimtoto wangu mimi ndie baba yakee,,, oooh Mungu wangu kwanini imekuwa njia ndefu hiviii kwaninii ,,” “lakini bado umefika kwa wakati safari yako “alberto alimuinua mtoto akambusu kila kona sasa yale maneno ya ness kuwa amefanana na mtoto wake yalijirudia kichwani akajikuta anacheka huku machozi yanatoka akasema ndio ni binti yangu amefanana na baba yangu kila kitu namuona baba yangu kabisa Sio Vicky wala recho hata mama yake hakuna alie elewa,, Rahul akamuomba recho na mama yake watoke nje mara moja wakatoka Rahul akaanza kuomba msamaha kwa alberto ,,

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments