Hadithi: *POOR RICHMAN* (Alijifanya amefirisika na Kuwa Masikini ili kuwajua wanafiki kwenye Maisha Yake) *1-----3*

Hadithi: *POOR RICHMAN* (Alijifanya amefirisika na Kuwa Masikini ili kuwajua wanafiki kwenye Maisha Yake) *1-----3*

Mtunzi: Mwaki Ze Done Sehemu Ya 1 "Uuuuu Jovin ebu rudia Labda sijakuelewa!? Unasema Nyumba imefanyaje inauzwa!??" Lilikuwa swali la Mke Wa Bwana Jovin kwenda kwa mumewe Jovin!. "Ndiyo Mke Wangu Nyumba nauza kwa ajili ya kulipa Madeni kwa wafanyakazi na fidia, kama nilivyo kwambia lile kampuni langu limepigwa mnada na serikali Baada ya kugundulika nilikuwa nakwepa kodi!" Bwana Jovin alijielezea akionekana kuwa na Sura ya huzuni!. "Masihara Hayo Baba kijacho! Yaani uuze nyumba alafu Sisi tukaishi wapi!?" "Mke Wangu haina jinsi inabidi nyumba iuzwe, tunaenda kuishi pale kwa Mzee Wangu kwa Sababu pana vyumba vipo tupu au kama huwezi

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments