
Kwetu morogoro fun Masha akavunga kama amelalaa,Mr Alberto alimpandisha juu aliona chumba kimoja kana udalili wa kuishi watu akahisi itakuwa ndio chumba cha Mashaa Na kweli alipatia kilikuwa ndicho, kimepambwa mno chumba kinanukia udi na marashi mazuri Akamlaza kitandani , akamtazama kwa muda moyoni akasema mbona sina hisia zozote na huyu dadaa mbona simuhisi kabisa kama ndiee , nimemuharibia usichana wake,ili kulinda heshima yangu lazima nimkubali ,Alberto Hakuna njia ingine tena ya kukwepa hili kama ataamua kunichafua kwa kitendo nilichomfanyia naweza kuishia jela kabisa ,kila kitu kilichojengwa na baba yangu itakuwa ndio mwisho daah " Akainuka akaingia bafuni akaoga vizuri
0 Comments