Shekhan Ibrahim kuna mchezaji mzuri sana ndani yake

Shekhan Ibrahim kuna mchezaji mzuri sana ndani yake

Yule Shekhan Ibrahim kuna mchezaji mzuri sana ndani yake 1: Control the ball ( anajitahidi kudhibiti mpira , kutoka kwa mabeki wake na viungo wenzake ) 2: Anapiga pasi vizuri ( anajitahidi , good long ball mita 20-30 : anaweza kuboresha zaidi ) Zote hizo ni Offensive , yani timu ikiwa na mpira 3: Good defending ( na bado anaweza kuzuia vizuri sana aisee , pale ambapo wenzake watashindwa kukabilia physical basi yeye atafanye na kuondosha athari kwa timu ) NOTE: Umri 22yrs .. hii ni mali sana , kwa umri huo na ukakamavu alionao naona akiwa dhahabu bora kwa

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments