BILLIONEA NDANI YA HOTELI💗💗 SEHEM YA 18

BILLIONEA NDANI YA HOTELI💗💗  SEHEM YA 18

Mama yake alikuja na bint mmoja wa kizungu, akaingizwa alipo alikuwa na ufahamu kwa mbali sanaaa akashuhudia yule dada akimvua nguo na kumfanyia kila kitu mwisho akampandio na alipo toa tu zile mbegu kweli ufahamu wake ukarudi akajisikia kidogo ananguvu sio kama mwanzo Baada ya hiyo kazi yule bint akaondoka alipewa pesa nyingi sanaaa kwa ajili hiyo Kazi ya kumtafuta mwanamke wa baba yake ndio aliempa sumu haikufanikiwa walimtafuta sanaa lakini hakupatikaa Tangu kipindi hicho Alberto alianza kuishi na sumu hiyo mwilini alipewa dawa nyingi za kuondoa sumu , hakuwa na kosa, wivu wa mwanamke wa zamani wa baba yake

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments