BILLIONEA CHOMOA IMEZIDI PLEASE❤ 3--4

BILLIONEA CHOMOA IMEZIDI PLEASE❤ 3--4

Chapter 3 Nilitaka kuchukua simu akazuia, niliamua kutulia, akanitizama nilivyonuna akaendelea kucheza game kwenye simu yake, nikaona na mimi nimkomeshe, nikamnyakua nakuizima, afu nikaitia kwenye kifua, alinitizama tu, ata hakugomba yani nilichukia nilijua atagomba alalamike lakini ata hakujisumbua ndo kwanza akaamua kulala, nilimminya kwenye kidonda ainuke, alipiga kelele ya maumivu akainiuliza unashida gani, simu si nimekuachia? Nikamuuliza kwa nini haulizi au kugomba kama nimechukua simu udai simu yako, alinitizama bila kusema kitu adi nikaona aibu, alijikaza akajisogeza atoe simu yake kifuani, nilishtuka nikamwambia wewe unafanya nini?" Nataka kuchukua simu yangu si ndo unachotaka?... na Niligoma nakumwambia atachukuaje iko mbali, "naweza

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments