
Mama ake alichanganyikiwa alijua mmewe atakufa akawa kashafanya mengi sana, alishajisema kuwa mmewe anamtoto mmoja tu Albert wengine wote sio wa mme wake na kweli alimsingizia mtoto mme wake ili aolewe nae, na mme wake alivyojua akabadilika akawa anatoka nje ya ndoa, mwanamke akaamua kulipiza akafumaniwa na mme wake akiwa na mwanaume mwingine kitandani tena chumba wanacholala mwanaume akaamua kusamehe tu kwa sabbu ya watoto walikuwa tayari na watoto wa 5 ila nyumba ikawa chungu apo kwenye hao wa5 mmoja tu ndie wakwake wengine wote ni wa nje.. Hio siri mwanaume alikiwa haijui yeye alijua tu ni mtoto yule wa
0 Comments