SIKUJUA LECTURER NI MJEDA 9

SIKUJUA LECTURER NI MJEDA 9

Nikashangaa ananipeleka sehemu moja kama restaurant, ilikuwa imeendikwa chiken fish, kisha akaagiza kuku wa tatu na chips.. Baada ya kama nusu saa wakaletwa kisha akasema "sikuwa najua kama sophy unapenda chips sana, hata kuku hao apo na chips naomba ule na umalize.. Nikashangaa maana sikumuambia kama nilikuwa na njaa, na walam sikuwa nataka kula kuku mimi, sasa sijui ni nani ambae alimuambia kuwa nina shida na kuku na chips zake, akajua kabisa kuwa sikuwa nataka kula hivyo akaniambia tena kuwa “ kuku na chip hao hao unatakiwa umaliza, na utanambia kuwa unataka kunywa na kinywaji gani… "Mimi sina njaa nashkuru,

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments