
TULIPOISHIA ... Masha akapata na pakupitishia jambo lake humo humoo ,, Rahul alibaki kimyaa anafatilia mazungumzo ya masha kwenye akili yake mambo yalikuwa yanagongana et Vicky amtelekeze mtot wake na aende pasipo julikanaa??? Kwanni? Amemuona Vicky mda mchache lakini akili yake ilikataa alichosema mashaa ,, akasema masha Vicky ninae mjua nina uhakika hawezi kuelekeza mtoto hata awe anapitia kipindi kigumu kiasi ganii……. ENDELEA... Masha hasira zilimshinda kudhizibitii alijikuta anaongea kwa kufoka tena kamtolea jicho la chuki Rahul “ kwahiyo wewee unamjua sana huyo Vicky kuliko mimii ett,, unamjua sanaaa ,, afu nakuonaa unapenda sanaa kunifatilia embu usiwe unakuja hpa kwangu
0 Comments