
"Si nawauliza ninyi, wenzenu wapo kwenye foleni ya chakula kule bwaloni, nyie huku mnafanya nini?" Mwalimu huyo wa kike aliuliza kwa mara nyingine huku akiwasogelea karibu, watatu hao walitazamana huku bonge akiogopa na mimi kichwa niliinamisha chini asije akaniona uso, khanga nilifunikwa mwili mzima mpaka kichwani kama mtandio "Madame huyu mwenzetu anajisikia vibaya ana homa ndo tumemleta huku apumzike" mmoja alijibu, "Mmetoa taarifa kwa mwalimu nani?" "Ndo tumetoka nae chooni alikuwa anatapika, tulipanga tuje kutoa taarifa" bonge aliongea kwa wasiwasi, mwalimu huyo wa kike alinisogelea taratibu na kunishika kidevu akitaka kuuinua uso wangu anitazame "Madame madame usimwinue uso ana ugonjwa
0 Comments