
Baada ya masha kulivuta koti akahisi kuna kitu kwenye mfuko wa koti akamwambia Vicky hii ninii?? Huku anaingiza mkono mfukoni kutazama Akakutana na saa nzurii Masha alipo iona tu aliijuaa hii kitu ni pesa ndefu sana yeye ni mdada wa mjini.. "Hii saa ni ya gharama kubwa sana bei yake ni zaidi ya Dola Milioni umeitoa wapiii" Vicky akashangaa saa?? moyoni akawaza itakuwa yule kijana mjinga aliemnaniliu ndio kaiweka hiyo saa humoo kwenye koti😔😔 Vicky baada ya kuwaza hivo Akamwambia masha embu nipee hiyo saa masha akamwambia hapana huwezi kuwa na saa ya gharama hivii halafu hii ni fake sio
0 Comments