
. *Endelea nayo* π Kwa upande wa Rozi yeye alijisikia furaha moyoni mwake kuwa na Japhet na alikuwa yupo tayari kwa lolote juu ya kijana huyo hakuona shida kuacha kazi. Basi wakaweza kuingia huko bafuni na kufungulia maji na kuanza kuogeshana wakisuguana kwenye miili yao huku wakicheza michezo ya kimahaba na mwishowe wakajikuta wakajikuta tena wanakata kiu yao ya kimapenzi kwa Mara nyingine hukohuko bafuni. Baada ya kumaliza kuoga wakatoka bafuni na kila mmoja akaingia chumbani kwake kwa ajili ya kubadilisha nguo. Rozi akiwa yupo chumbani kwake akafungua kabati la nguo ili achague nguo ya kuvaa aende sokoni kununua mahitaji
0 Comments