BILLIONEA NDANI YA HOTELI💗💗 SEHEMU YA 31

BILLIONEA NDANI YA HOTELI💗💗  SEHEMU YA 31

TULIPOISHIA...... Abby akuwa amemwambia wale hawakuwa ndugu zake yupo hapo kwa muda akimaliza chuo atarudi kijijini kwao,, “ qassano serious??” “ yeah ,, unajua abbyy kuna vitu baadhi nilikuongopea na kuna vingi pia hujui kuhusu mii but from now on utajua vyote kuhusu mimi” ENDELEA...... Abby akamwambia mhuu nambie vipii hivyo” “bado sijajua nianzie wapi kama ya kujua kuhusu mii ,, unatakiwa ujue kwanza mapungufu yangu ,, unajua abby kabl ya kuwa hapa leo huko nyuma nilishafanya makosa tena mengi tu yakuchukiza na hayo ndio mapungufu yangu makubwa sanaa” “Mungu wangu ni lipi ,, ushaanza kunitisha hivyo” “ noo embu

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments