
Masha akainuka kumfatulia Vicky Vicky hatua ya kwanza aliamua kurudi pale pale Hotel, labda afatilie kwa kina labda anaweza pata hata mawasiliano ya huyo baba mtoto wake Alienda mpaka kwa Supervises "Mose aliacha kazi gafla sanaa ,nyumbani kwake labda umuulize lydia mana walikuwa na mahusiano " "Sawa ahsante " Vicky akatoka kwenda kumtafuta huyo Lydia , Lydia yeye ni mfuaji hapo mara zote yupo hapo Hakuangaika sana kwa sababu anapajua anapo patikana akamkuta Akamwelezea kila kitu, lydia alishangaa akamwambia namjua Vizuri sana Moze kweli ni muhuni lakini akubakee We Vicky wewe ulimuonaa?? Vicky akamwambia hapana lakini ni yeye ndie alikuwa
0 Comments