BINAMU MWENZAKO NAISHIWA PAWA Note : Ina maudhui ya watu wazima soma kwa uangalifu .... Episode 1

BINAMU MWENZAKO NAISHIWA PAWA Note : Ina maudhui ya watu wazima  soma kwa uangalifu ....   Episode 1

Usiku ulikuwa kimya. Mbalamwezi iking’aa juu ya paa la nyumba ya mzee wetu kule kijijini Rungwe. Nilikuwa nimetoka kuoga, maji ya baridi yakinifanya nihisi uchovu kupita kiasi. Nilivaa taulo tu nikaingia chumbani kwangu, nikijua leo nitapumzika. Lakini mambo yalibadilika. Alikuwepo Tina, binamu yangu aliyekuwa amekuja likizo kutoka chuo. Tangu amefika, nyumba imebadilika kabisa harufu ya mafuta ya kujipaka, nywele zilizosukwa vizuri, na nguo zake fupi zilizoonyesha umbo lake kama sanamu ya kuchonga. Kila nilipojaribu kujizuia, ndivyo alivyokuwa akizidi kunisumbua. Na najua hakuwa hajui alijua alichokuwa anakifanya. Usiku ule, nilipokuwa kitandani, nilisikia mlango wa chumba changu ukiguswa taratibu… "Vicent... upo macho?"

Soma zaidi

Post a Comment

0 Comments